Wednesday, September 7, 2011

LINDA NDOA YAKO MWANAMKE, ISIJE KUPONYOKA BURE!

Familia mseto kama hizi kupinduana hutokea sanaUnapoishi nyumbani na ndugu yako, jamaa yako au hata mtumishi wa kike, ni vizuri ukajitahidi kulinda ndoa yako. Kumbuka kwamba, wanaume hawajali hisia, hujali zaidi mwili. Kama ukimwachia ndugu yako, jamaa au rafiki yako kumzoea sana mumeo, jua tu kwamba, inawezekana unajitengenezea maumivu makubwa sana hapo baadae.


Tafiti zinathibitisha sana kwamba, mwanaume anapohisi kuwa mwanamke fulani anamwonesha kwamba, yeye ni mwanaume kweli kweli, anapoonesha kwamba, anatambua uwepo wake na mchango wake katika familia, mwanaume huanza kumpenda, bila kujali sura au hadhi.Kama ndugu yako ni mjuaji wa mambo haya, anaweza kumwonesha mumeo kwamba, anaamini kuwa ni mwanaume kwelikweli. Hii hufanyika kwa kumsifu, kutopingana naye, kumpongeza mara kwa mara na kumwonesha kwamba anaamini katika yeye.Hata wale watumishi wa ndani, wanaochukuliwa na wanaume za watu hawafanyi hivyo kwa sababu, ati hao watumishi ni wazuri sana wa sura au wanajua sana mapenzi, hapana.Wanaume huwachukua kwa sababu, wake au wapenzi wa wanaume hao wameshindwa wajibu wao, wameshindwa kujua kwamba wanaume hutazama uhusiano kwa jicho tofauti.Lakini, iwe ndugu au jamaa zenu na hata watumishi majumbani mwenu, bado na wao ni binadamu, wana udhaifu. Kwa udhaifu wao, pamoja na udhaifu wa wanaume au wapenzi wenu, wanaweza kuwasaliti. Kwa hiyo ni juu yenu kulinda ndoa zenu, ili udhaifu huo usiwe chanzo kwa kuvunjika kwa matumaini na matarajio yenu ya kujenga familia.Kuna mambo mawili makubwa hapa, kwanza inawezwekana mmejiachia wazi sana kama wanawake na kusahau kuwa wanaume huvutiwa na mambo gani.Kwa hali hiyo, mnawaacha wale walio karibu nao kuwafanyia yale wanayohitaji na kuchukua nafasi zenu.Lakini pili, ni udhaifu wa kibinadamu na zaidi kwa wanaume, linapokuja suala la mwili. Kwa udhaifu huo, inabidi muwasaidie kuwalinda wasishawishiwe kirahisi. Lakini, ndugu zenu wa kike au watumishi mnaoishi nao, inabidi muwakague vizuri na kuacha kuwamini kupita kiasi kwa waume au wapenzi wenu.Ni hatari sana kwa mwanamke kwa mfano, kumwambia au kumruhusu mumewe aende sehemu za starehe na rafiki yake wa kike au na ndugu yake wa kike, ati kwa sababu anamwamini rafiki huyo au mumewe. Kumbuka, suala hapa sio kuaminika au kutoaminika, bali ukweli wa kimaumbile pia. Mwanamke, chunga ndoa yako, ilinde sana, kwani sio dhambi.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mada hii ni darasa zuri sana...UAMINIFU KATIKA NDOA...lakini hapa ni tata kidogo kwani atayekuwa na kosa ni ndugu yangu au mume wangu?

Swahili na Waswahili said...

Kwangu mimi da'Yasinta wote wanamakosa huyo mume wangu na huyo ndugu/rafiki yangu kama mmoja kambaka mwingine sawa, lakini kama wanajifanya wamepitiwa hiyo kesi mpya.

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.

SIMON KITURURU said...

Naona kama kidogo wanaume tumeonewa jamani hapa! Kwani wamama nao hawana udhaifu tu sawasawa kama wababa wanazembea kitu fulani? Nimejikuta tu nawaza kwa sauti!

emu-three said...

Upo wapi ndugu yetu weeee!

Anonymous said...

Just as the gods used WWII to justify an influx of new technologies, including the voice in your head, so will they use the impending pestilence which kills over half the world's population to justify historical medical advances, including the "cure of aging", initiating the "1000 years with Jesus on Earth", despite biotechnology already accomplishing these goals.
We've seen this tactic used recently with AIDS, targetted at homosexuals and blacks in Africa with the biotechnology product. The gods control everything on Earth, and althugh sold AIDS to your enemies as revenge, their real purpose was to enlighten you regarding sex. It was very effective with homosexuals in the USA, but sex is among the most powerful temptations with Africans. Remeber it is always the gods:::Slavery, AIDS, drive-bys, crack babies, pimps prostituting 10 year-old girls. And, contrary to your belief the victim doesn't go anywhere. They are reincarnated back to Earth like everyone else when we die.
Then, as promised, The End will come with fire::::Global tectonic subduction.

There was a very real perception that bi-racial was much worse for the white than it was for the person of color. The liberal culture, which was designed and promoted with the god's tools to achieve their Apocalyptic goals, screamed racism when there was a very reasonable explanation for this reality::::
In this white punishment known as the United States the person of color has already adopted the disfavors/temptations intended for another race. But by associating/mating with a person of color the white is newly adopting the disfavors of another culture.
And this is the reason why people of color are not welcome in the United States. The gods control everything:::The perception they want to create, the thoughts they want you to have.
People of color can't recover from absorbing the temptations from two cultures. And why they become more and more like so many blacks in America:::Veterans at absorbing the temptations of two cultures.
To further illustrate this is why California's educational system/funding was ranked #1 when California was white:::Education being the basis of the affluent economic system. Now even public higher education has become unaffordable.

Don't forget the lessons the 'ole white preacher taught:::Dancing is a sin, spare the rod spoil the child.
The gods used the liberal tool to ridicule away so many taboos, paving the way for the decay of society and ultimately the End Times::::::
Black behavior was controlled by the KKK. Men's behavior was controlled by marriage for thousands of years.
When married by 15 men never gained the taste of promiscuity. Once the gods used the budding liberalism tool the men set the tone for the deteriorating enviornment centered around their gross disfavor.
Women's relinquishing control of pre-arranged marriage will be what costs mankind everything in The End. It's all their fault. Men are pigs, essentially just primally responsive disfavored beings who if given the freedom will abuse based on the impulses the god's push them into. Whereas under pre-arranged marriage this behavior was contained now the promiscuous fraternity house epitomizes the pinnicle of what a "real man" should be like. And sadly the women fall into line.

The gods behave monsterously in the course of managing Planet Earth but they demand people be good if you are to have a chance to ascend in a future life.
Not only is doing the right things important (praying, attoning for your sins, thinking the right way:::accepting humility, modesty, vulnerability), so is avoiding the wrong things important as well:::"Go and sin no more".
You NEED active parents who share wisdom to have a real chance to ascend into heaven in a future life, and you MUST be a good parent as well to have that opportunity. Once your children have been raised something changes, something has been decided about you. This is exactly that.

Anonymous said...

Katika dunia hii ya leo, kuna vitu ambavyo sisi binadamu tunakuwa tunakataa kufanya ambavyo tunajua kabisa ni muhimu sana katika maisha ya karne hii pamoja na utandawazi unaongezeka hadi leo. Mfano kama mafundisho ya dini, tunajua kabisa mafundisho haya ya dini hasa kutoka katika kitabu cha Biblia ni muhimu sana na yanatoka kwa Mungu ambaye yeye ndie mwanzilishi wa ndoa na anajua yote katika moyo wa mwanadamu, kwanini kama mwanadamu atafute njia mbadala ya kumtumia binadamu mwenzake kwa ajili ya pesa au kumtumia tu kivingine? Kwani mafundisho halisi ya dini yanafundisha hivyo? Kuna uzito gani wa kuwa na upendo kwa mwanadamu mwenzako katika kusaidiana na kupendana katika maisha ya kila siku. Maana ni dhahiri kabisa kama kila mwanadamu atafuata kikamilifu ule uhalisi wa mafundisho na hata kujizuia katika mambo yanayoleta ushawishi na binafsi kujituma kwa kupenda kufanya kitu chema, basi haya mambo ya kukatisha tamaa na kuleta wasiwasi na huzuni yasingekuwepo katika mzunguko wa mahali pa makazi ya kila mmoja.